• HABARI MPYA

  Wednesday, March 27, 2019

  CORREA APIGA BAO PEKEE ARGENTINA YAICHAPA MOROCCO 1-0

  Angel Correa akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Argentina dakika ya 83 ikiwalaza wenyeji, Morocco 1-0 katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Grand Stade de Tanger mjini Tanger 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CORREA APIGA BAO PEKEE ARGENTINA YAICHAPA MOROCCO 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top