Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao matatu dakika ya tano, 33 na 59 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Dynamo Kiev kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa NSK Olimpiki mjini Kiev. Mabao mengine yalifungwa na Marcos Alonso dakika ya 45 na ushei na Callum Hudson-Odoi dakika ya 78 na Chelsea inakwenda robo fainali kwa ushindi wa jumla wa 8-0 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
18th Headies nominees party holds at Vaniti Lagos
-
Vaniti, Lagos will host nominees of the 18th Headies Awards on Saturday,
October 3, 2026, as part of activities leading up to the prestigious music
award...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment