Kiungo wa Cagliari, Nicolo Barella akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Italia dakika ya saba katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Finland kwenye mchezo wa J kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Dacia Arena mjini Udine. Bao la pili la The Azzuri lilifungwa na Moise Kean dakika ya 74 wakati mechi nyingine za kundi hilo, Ugiriki ilishinda 2-0 ugenini dhidi ya Liechtenstein mjini Vaduz na Bosnia-Herzegovina ikaichapa 2-1 Armenia mjini Sarajevo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Agyemang-Badu certain Ghana will qualify for 2026 World Cup
-
Former Ghana international, Emmanuel Agyemang-Badu, has expressed optimism
about Black Stars' chances of qualifying for the 2026 World Cup.Ghana
revived th...
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment