• HABARI MPYA

  Saturday, March 23, 2019

  RONALDO AREJEA KIKOSINI URENO IKILAZIMISHWA SARE 0-0 NA UKRAINE

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akijaribu kuwatoka mabeki wa Ukraine usiku wa jana Uwanja wa  Luz mjini Lisbon katika mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 alipokuwa akiichezea Ureno kwa mara ya kwanza tangu baada ya Fainali za kombe la Dunia mwaka jana Urusi. Timu hizo hazikufungana na mechi nyingine ya Kundi B jana, Luxembourg iliichapa Lithuania 2-1 mjini Luxembourg 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AREJEA KIKOSINI URENO IKILAZIMISHWA SARE 0-0 NA UKRAINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top