• HABARI MPYA

  Sunday, March 17, 2019

  MAN UNITED YAPIGWA 2-1 NA KUTUPWA NJE KOMBE LA FA ENGLAND

  Mshambuliaji wa Wolverhampton Wanderers, Raul Jimenez (katikati) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 70 ikiilaza Manchester United 2-1 katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands. Bao la pili lilifungwa na Diogo Jota dakika ya 76, wakati bao la Man United lilifungwa na Marcus Rashford dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAPIGWA 2-1 NA KUTUPWA NJE KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top