• HABARI MPYA

  Saturday, March 30, 2019

  MAN CITY YAREJEA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUIPIGA FULHAM 2-0

  Sergio Aguero na Bernardo Silva wakishangilia pamoja baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-0 wa Manchester City dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Craven Cottage mjini London. Silva alifunga dakika ya tano na Aguero dakika ya 27 na kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 77 baada ya kucheza mechi 31, ikirejea kileleni mwa Ligi Kuu England, sasa ikiizidi pointi moja Liverpool ambayo kesho itamenyana na Tottenham Hotspur Uwanja wa Anfield 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAREJEA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUIPIGA FULHAM 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top