Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la pili kwa penalti dakika ya 51 ikishinda 3-1 dhidi ya Rayo Vallecano kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Gerard Pique dakika ya 38 na Luis Suarez dakika ya 82, wakati bao pekee la Rayo Vallecano limefungwa na Raúl de Tomás dakika ya 24. Barcelona inafikisha pointi 63 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 27, ikiendelea kuongoza La Liga kwa pointi saba zaidi ya Atletico Madrid inayofuatia katika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
A BOND THAT MUST NEVER BE BROKEN (6)
-
Permit me to once again share the words of the Sweden-based Nigerian
writer, Prince Kio Jaja Amachree. He wrote the following on X: "In 1990,
when Mandel...
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment