• HABARI MPYA

  Sunday, March 24, 2019

  RAMOS AFUNGA LA USHINDI HISPANIA YAICHAPA NORWAY 2-1

  Nahodha Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Hispania kwa penalti dakika ya 71 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Norway kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Mestalla mjini Valencia. Hispania ilitangulia kwa bao la Rodrigo dakika ya 16 kabla ya Joshua King kuisawazishia Norway kwa penalti dakika ya 65 na mechi nyingine za kundi hilo, Sweden iliichapa 2-1 Romania mjini Solna na Malta ikaifunga 2-1 Faroe Islands mjini Ta'Qali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAMOS AFUNGA LA USHINDI HISPANIA YAICHAPA NORWAY 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top