• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 14, 2019

  LIVERPOOL YAICHAPA BAYERN MUNICH 3-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI

  Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 26 na 84 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Bayern Munich kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Bao lingine la limefungwa na Virgil van Dijk dakika ya 69, wakati la Bayern Munich Joel Matip alijifunga dakika ya 39 na kwa ushindi huo, Liverpool inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA BAYERN MUNICH 3-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top