Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 17 kwa penalti na 78 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Lyon kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 31, Gerard Pique dakika ya 81 na Ousmane Dembele dakika ya 86, wakati la Lyon limefungwa na Lucas Tousart dakika ya 58 na Barcelona inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-1 baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bronze opens up about autism & ADHD diagnoses
-
Chelsea and England defender Lucy Bronze speaks exclusively to BBC Sport,
telling Alex Scott about her autism and ADHD diagnoses, and how it affects
her li...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment