• HABARI MPYA

  Wednesday, March 27, 2019

  MORATA APIGA ZOTE HISPANIA YAICHAPA 2-0 MALTA KUFUZU EURO

  Mshambuliaji Alvaro Morata akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Hispania dakika za 31 na 73 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Malta kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Taifa wa Ta'Qali mjini Ta'Qali.
  Kwa matokeo hayo Hispania inaongoza kundi hilo kwa pointi zake sita, ikifuatiwa na Sweden yenye pointi nne baada ya jana kulazimisha sare ya 3-3 na Norway mjini Oslo huku Romania ikiichapa Faroe Islands 4-1 mjini Cluj-Napoca kwenye mechi nyingine za kundi hilo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MORATA APIGA ZOTE HISPANIA YAICHAPA 2-0 MALTA KUFUZU EURO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top