• HABARI MPYA

  Saturday, March 30, 2019

  MAN UNTED WAICHAPA WATFORD 2-1 OLD TRAFFORD

  Marcus Rashford akiteleza kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 28, kabla ya Anthony Martial kufunga la pili dakika ya 72 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Watford ambayo bao lake limefungwa na Abdoulaye Doucoure dakika ya 90 usiku wa leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Kwa ushindi huo wa kwanza baada ya kocha Ole Gunnar Solskjaer kusaini mkataba wa miaka mitatu kuwa kocha wa kudumu, Man United inafikisha pointi 61 baada ya kucheza mechi 31 na kurejea nafasi ya nne ikiizidi pointi moja Arsenal 
      
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNTED WAICHAPA WATFORD 2-1 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top