• HABARI MPYA

  Saturday, March 23, 2019

  MESSI HOI ARGENTINA IKIKUNG'UTWA 3-1 NA VENEZUELA

  Mshambuliaji na Nahodha wa Argentina, Lionel Messi akisikitika baada ya timu yake kuchapwa mabao 3-1 na Venezuela Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid kwenye mchezo wa kirafiki. Mabao ya Venezuela yalifungwa na Salomon Rondon dakika ya sita, Jhon Murillo dakika ya 44 na Josef Martinez dakika ya 75 kwa penalti wakati la Argentina lilifungwa na Lautaro Martínez dakika ya 59 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI HOI ARGENTINA IKIKUNG'UTWA 3-1 NA VENEZUELA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top