• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 13, 2019

  MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA KWA USHINDI WA KISHINDO

  Mshambauliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika ya 35 kwa penalti na 38 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Schake 04 kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad mjini Manchester. Mabao mengine yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 42, Raheem Sterling dakika ya 56, Bernardo Silva dakika ya 71, P. Foden dakika ya 78 na Gabriel Jesus dakika ya 84 na kwa matokeo hayo Man City inatinga robo fainali kwa ushindi wa jumla wa 10-2 baada ya awali kushinda 3-2 ugenini 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA KWA USHINDI WA KISHINDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top