• HABARI MPYA

  Wednesday, March 27, 2019

  JESUS APIGA MBILI BRAZIL YAICHAPA 3-1 CZECH KIRAFIKI PRAHA

  Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Brazil mabao mawili dakika za 83 na 90 ikiichapa Jamhuri ya Czech 3-1 kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Sinobo mjini Praha. Bao lingine la Brazil lilifungwa na Roberto Firmino dakika ya 49, wakati la Czech lilifungwa na David Pavelka dakika ya 37 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JESUS APIGA MBILI BRAZIL YAICHAPA 3-1 CZECH KIRAFIKI PRAHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top