MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Korea, Ji Dong-won akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Augsburg dakika za 24 na 67 usiku wa jana ikishinda 2-1 dhidi ya Borussia Dortmund katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa WWK Arena mjini Augsburg. Bao pekee la Borussia Dortmund limefungwa na Paco Alcacer dakika ya 81 na kwa ushindi huo, Augsburg inafikisha pointi 21 baada ya kucheza mechi 24 ikiendelea kushika nafasi ya 15 katika msimamo wa Bundesliga inayoshirikisha timu 20, wakati Borussia Dortmund inaendelea kuongoza kwa pointi zake 54 za mechi 24, tatu zaidi ya Bayern Munich ambayo hata hivyo imecheza mechi 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Caitlin Clark questioned over nine-day silence on WNBA punch scandal after
finally speaking out: 'A lot of prep time'
-
The WNBA became embroiled in fierce controversy yet again last week after
Clark - arguably the face of the league - was punched in the throat by
Phoenix Me...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment