UKUTA WA TUKUYU STARS 1991, MOHAMMED KASANDA NA KATOTO
MABEKI wa kati wa Tukuyu Stars mwaka 1991, Mohammed Kasanda (kushoto) na Shaaban Katoto (kulia) kabla ya moja ya mechi za timu hiyo za Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
0 comments:
Post a Comment