Wachezaji wa Hispania wakimpongeza mwenzao, Paco Alcacer baada ya kufunga mabao mawili dakika za nane na 29 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Wales kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Principality mjini Cardiff. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 19 na Marc Bartra dakika ya 74, wakati la Wales lilifungwa na Sam Vokes dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The story behind the cardboard cutout at Broncos camp
-
Sean Payton ordered a life-sized cardboard cutout of OC Davis Webb to keep
the mood light but also send a message to the precocious play-caller.
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment