Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Rodinghausen ya Daraja la Nne kwenye mchezo wa Kombe la Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Bremer Brucke mjini Osnabruck. Mabao ya Bayern Munich yalifungwa na Sandro Wagner dakika ya nane na Thomas Muller dakika ya 13 kwa penalti huku Renato Sanches akikosa penalti dakika ya 23 na bao la Rodinghausen lilifungwa na Linus Meyer dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Atletico Madrid friendly announced
-
The Reds will be playing a pre-season fixture in Norway in July.
Dakika 31 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni