• HABARI MPYA

  Friday, October 19, 2018

  ABDALLAH CHINUMBA WA NYANGAMALA LINDI AKABIDHIWA BAJAJI YAKE KATIKA DROO YA 15 YA SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA.

  KILA Mtanzania anapenda kushinda na Ndio maana SportPesa imekuwa sehemu sahihi ya kuhakikisha maisha ya Watanzania Wengi Yanabadilika pale Wanaposhinda bajaji zinazotolewa kwa mshindi mmoja kila siku mara baada ya Ubashiri.
  Hili limekuwa zoezi La mafanikio Makubwa kwa watanzania Tangu Promosheni Ya Mwanzo Mpaka ya Hivi ambopo idadi kubwa ya Washindi hutoa simulizi ya Kusimumua na kuelezea ni kwa jinsi gani bajaji inaenda kubadili maisha yake.
  Kama kawaida ya timu Ya Ushindi Yenyewe huwa haipotezi Muda Pale mshindi anapopatikana na kwa Wakati Huu ni zamu ya Mshindi wa Droo ya 15 Kutoka Nyangamala Lindi, Abdallah Chinumba Kukabidhiwa Bajaji Yake ikiwa ni Baada ya Kushinda na SportPesa.
  Abdallah Chinumba akikabidhiwa Bajaji Yake Baada ya Kushinda na SportPesa 
  Chinumba Anasema Tangu Mwanzo anaisikia SportPesa yeye alikuwa anatamani Kushinda Bajaj Na Alipokuwa akiona Wenzake wanashinda hakujua kama Na yeye Ipo siku yake ua ushindi.
  "Yani Mtazamo wangu kumbe haukuwa sahihi nilijua kwamba SportPesa wanapeleka Bajaj hizi kwa Ndugu zao Kumbe wala maana mbona Na Mimi nimeshinda na Hakuna mtu ananifahamu SportPesa nimegundua hii ni Kwa yeyote anayebashiri na Tayari Maisha Yangu yanaenda kubadilika Baada ya Ushindi Huu" Alisema mshindi huyo wa Droo ya 15.
  Kwa upande Mwingine Chinumba alisema Baada ya Kushinda Bajaji Sasa anaanza kuisaka Jackpot ya zaidi ya milioni mia tano hamsini ambapo mshindi atapatikana mara baada ya kubashiri mechi kumi na tatu kwa usahihi kutoka SportPesa na ikitokea anashinda basi atanunua Nyumba kubwa sana na ya kifahari.
  Hakuna kulala Mtanzania SportPesa wametuletea Bajaji mia moja cha kufanya kupitia simu yako ya mkononi ni kupiga *150*87# kuweka pesa kwenye akaunti ya SportPesa na kupitia mitandao yote ya simu.
  Mara baada ya kuweka ubashiri moja kwa moja unaingia kwenye droo ambayo unaweza kujishindia zawadi mbalimbali kama Bajaji, Jezi za timu ya Simba au Yanga, Smartphones na safari ya kwenda kushuhudia mechi zinazoendelea za ligi kuu nchini Hispania na Uingereza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ABDALLAH CHINUMBA WA NYANGAMALA LINDI AKABIDHIWA BAJAJI YAKE KATIKA DROO YA 15 YA SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA. Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top