• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 21, 2018

  RONALDO AIFUNGIA JUVE NA KUWEKA REKODI MPYA YA MABAO YA ULAYA

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kuongoza Juventus dakika ya 18 katika sare ya 1-1 na Genoa kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino. Genoa walisawazisha dakika ya 67 kupitia kwa Daniel Bessa huku Ronaldo akiweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 400 kwenye Ligi tano za Ulaya 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AIFUNGIA JUVE NA KUWEKA REKODI MPYA YA MABAO YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top