• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 22, 2018

  INTER MILAN YAWAZIMA MAHASIMU AC MILAN 1-0, MAMBO YA ICARDI HAYO

  Mauro Icardi akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Inter Milan dakika ya mwisho ikiwalaza 1-0 mahasimu, AC Milan katika mchezo wa Serie A jana Uwanja wa San Siro mjini Milan 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: INTER MILAN YAWAZIMA MAHASIMU AC MILAN 1-0, MAMBO YA ICARDI HAYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top