• HABARI MPYA

  Monday, October 29, 2018

  MBAPPE ATOKEA BENCHI NA KUFUNGA PSG WAIPIGA 2-0 MARSEILLE

  Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza PSG dakika ya 65 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Marseille kwenye mechi ya mahasimu wa Ligue 1, Ufaransa maarufu kama Le Classique usiku wa jana Uwanja wa Orange Velodrome mjini Marseille. Bao la pili la PSG limefungwa na Julian Draxler dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBAPPE ATOKEA BENCHI NA KUFUNGA PSG WAIPIGA 2-0 MARSEILLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top