• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 23, 2018

  RONALDO AONYESHA SAA YA ALMASI TUPU YENYE THAMANI KUBWA

  Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo akionyesha saa yake ya Jacob&Co Caviar Tourbillon iliyotengenezwa kwa madini ya almasi yenye thamani ya Pauni Milioni 1.85, wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari jana kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya klabu yake ya zamani, Manchester United leo Uwanja wa Old Trafford 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AONYESHA SAA YA ALMASI TUPU YENYE THAMANI KUBWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top