• HABARI MPYA

  Wednesday, October 24, 2018

  BAYERN MUNICH WAICHAPA AEK ATHENS 2-0 PALE PALE UGIRIKI

  Mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa AEK Athens, Dmytro Chygrynskiy katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Athens, Ugiriki. Bayern Munich walishinda 2-0, mabao ya Javi Martinez dakika ya 61 na Lewandowski dakika ya 63 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH WAICHAPA AEK ATHENS 2-0 PALE PALE UGIRIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top