• HABARI MPYA

  Saturday, October 20, 2018

  MOURINHO ATAKA KUMPIGA KOCHA WA CHELSEA ALIYESHANGILIA MBELE YAKE

  Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akidhibitiwa asiende kugombana na mmoja wa makocha wasaidizi wa Chelsea, Marco Ianni leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mourinho alikasirishwa na kitendo cha Ianni kwenda kushangilia mbele yake baada ya Chelsea kupata bao la kusawazisha dakika ya mwisho 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOURINHO ATAKA KUMPIGA KOCHA WA CHELSEA ALIYESHANGILIA MBELE YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top