• HABARI MPYA

  Tuesday, October 23, 2018

  AUBAMEYANGA AFUNGA MAWILI ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 3-1 EMIRATES

  Pierre-Emerick Aubameyang akifurahia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 63 na 66 kufuatia Mesut Ozil kufunga la kwanza dakika ya 45 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London. Bao la Leicester Arsenal walijifunga baada ya mpira uliipigwa na Ben Chilwell kumbabatiza Hector Bellerin 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANGA AFUNGA MAWILI ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 3-1 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top