• HABARI MPYA

  Friday, October 19, 2018

  MOURINHO AKISAINI AUTOGRAPHS MAN UNITED WAKISUBIRI TRENI

  Kocha Mreno, Jose Mourinho (kulia) akisaini autographs ya shabiki kwenye stesheni ya Treni ya Stockport mjini Manchester leo wakati wakisubiri treni ya kuwapeleka London kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Chelsea kesho Uwanja wa Stamford Bridge, London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOURINHO AKISAINI AUTOGRAPHS MAN UNITED WAKISUBIRI TRENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top