• HABARI MPYA

  Saturday, October 20, 2018

  AGUERO AFUNGA LA KWANZA MAN CITY YAIFUMUA 5-0 BURNLEY ETIHAD

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 17 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Bernardo Silva dakika ya 54, Fernandinho dakika ya 56, Riyad Mahrez dakika ya 83 na Leroy Sane dakika ya 90 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA LA KWANZA MAN CITY YAIFUMUA 5-0 BURNLEY ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top