Mshambuliaji wa Manchester City, Riyad Mahrez akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Tottenham Hotspur usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Wembley mjini London. Man City ilishinda 1-0, bao pekee la Mahrez dakika ya sita akimalizia pasi ya Raheem Sterling PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chelsea 1-1 Leicester: The Blues drop more points
-
Chelsea dropped more points at Stamford Bridge following a 1-1 draw with
Leicester City on Thursday evening. James Maddison opened the scoring for
the vis...
Dakika 43 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni