• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 25, 2018

  SALAH AFIKISHA MABAO 50 MECHI YA 65 TU LIVERPOOL YASHINDA 4-0

  Mohamed Salah akiifungia Liverpol bao la tatu dakika ya 51 kwa penalti baada ya Sadio Mane kuangushwa kwenye boksi, hilo likiwa bao lake la pili usiku wa jana baada ya awali kufunga la pili dakika ya 45 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Crvena Zvezda katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Roberto Firmino dakika ya 20 na Mane dakika ya 80. Salah amefikisha mabao 50 ya kuifungiaLiverpool katika mechi 65 tu tangu ajiunge nayo kutoka AS Roma msimu uliopita 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH AFIKISHA MABAO 50 MECHI YA 65 TU LIVERPOOL YASHINDA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top