Mshambuliaji wa Uholanzi, Memphis Depay akipambana na mchezaji wa Ubelgiji katika mchezo wa kirafiki usiku wa Jumanne Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Dries Mertens alianza kuifungia Ubelgiji dakika ya tano, kabla ya Arnaut Groeneveld kuisawazishia Uholanzi dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment