• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 28, 2018

  SUAREZ APIGA HAT TRICK BARCELONA YAIFUMUA REAL MADRID 5-1

  Mshambuliaji Luis Suarez wa Barcelona akishangilia kwa kuonyesha picha ya mtoto wake mpya na ujumbe; 'Welcome Lauti' baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 30 kwa penalti, 75 na 83 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 11 na A. Vidal dakika ya 87, wakati la Real limefungwa na Marcelo dakika ya 50 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ APIGA HAT TRICK BARCELONA YAIFUMUA REAL MADRID 5-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top