• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 22, 2018

  WAYNE ROONEY AFUNGA MAWILI, ASETI MOJA DC UNITED YASHINDA 3-1

  Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili DC United dakika ya nane na la penalti dakika ya 74 na kutoa pasi ya bao lingine lililofungwa na Luciano Acosta dakika ya 24 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya New York City ambao bao lao lilifungwa na David Vill dakika ya 78 Uwanja wa Audi Field mjini Washington, District of Columbia katika Ligi ya Marekani (MLS) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAYNE ROONEY AFUNGA MAWILI, ASETI MOJA DC UNITED YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top