• HABARI MPYA

  Sunday, October 21, 2018

  SALAH AINGARISHA LIVERPOOL, AFUNGA BAO PEKEE HUDDERSFIELD WAFA 1-0 KWAO

  Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao pekee timu yake dakika ya 24 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Huddersfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa John Smith 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AINGARISHA LIVERPOOL, AFUNGA BAO PEKEE HUDDERSFIELD WAFA 1-0 KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top