• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 27, 2018

  RONALDO AFUNGA MABAO MAWILI JUVE YASHINDA 2-1

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus dakika za 54 kwa penalti na 70 wakitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Empoli kwenye mchezo wa Serie A leo Uwanja wa Carlo Castellani mjini Empoli 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MABAO MAWILI JUVE YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top