• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 24, 2018

  MAN CITY WASHINDA 3-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Kiungo David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Shakhtar Donetsk usiku wa Jumanne Uwanja wa Oblasny Sport Complex Metalist mjini Kharkiv, Ukraine kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Aymeric Laporte dakika ya 35 na Bernardo Silva dakika ya 70 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY WASHINDA 3-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top