• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 25, 2018

  SANCHO AFUNGA DORTMUND YAICHAPA 4-0 ATLETICO MADRID

  Kinda Muingereza, Jadon Sancho akimzunguka kipa wa Atletico Madrid, Jan Oblak kabla ya kuifungia Borussia Dortmund bao la tatu dakika ya 83 katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund usiku wa jana. Mabao mengine Borussia Dortmund yalifungwa na Axel Witsel dakika ya 38, Raphael Guerreiro dakika ya 73 na 89 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHO AFUNGA DORTMUND YAICHAPA 4-0 ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top