• HABARI MPYA

  Saturday, October 27, 2018

  MANE AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YASHINDA 4-1

  Sadio Mane akipongezwa na Xherdan Shaqiri baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 66 na 87 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Cardiff kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 10 na Shaqiri dakika ya 84, wakati la Cardiff limefungwa na Callum Paterson dakika ya 77 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YASHINDA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top