Mashabiki wa Tanzania wakifurahia jana wakati wa mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 nchini Cameroon dhidi ya Cape Verde jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Tanzania ilishinda 2-0.
Mashabiki wa Taifa Stars walikuwa wenye furaha kubwa jana Uwanja wa Taifa
Binti huyu akionyesha uzalendo wake jukwaani jana
Mashabiki wakifuatili mchezo kati ya Taifa Stars na Papa wa Bluu kwa hisia tofauti
Mashabiki wakifuatili mchezo kati ya Taifa Stars na Papa wa Bluu kwa hisia tofauti
Mashabiki hawa wa kigeni wakifuatilia mchezo huo jana
Mashabiki wengine wakiwa katika mavazi ya kizalendo
Hapa ni shangwe baada ya filimbi ya mwisho
Joshua targets September return at Wembley
-
British heavyweight Anthony Joshua believes his next fight will be in
September, at Wembley Stadium in London.
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment