• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 26, 2018

  WELBECK AING'ARISHA ARSENAL, YASHINDA MECHI YA 11 MFULULIZO

  Mshambuliaji Danny Welbeck akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao pekee dakika ya 77 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sporting Lisbon kwenye mchezo wa Kundi E Europa League usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade, huo ukiwa ushindi wa 11 mfululizo kwa kikosi cha kocha Unai Emery 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WELBECK AING'ARISHA ARSENAL, YASHINDA MECHI YA 11 MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top