Karim Benzema na Gareth Bale wakisikitika baada ya Real Madrid kupoteza tena mechi kufuatia kufungwa nyumbani, Uwanja wa Santiago Bernabeu mabao 2-1 na Levante katika mchezo wa La Liga leo. Mabao ya Levante yamefungwa Jose Luis Morales dakika ya sita na Roger Marti dakika ya 13 kwa penalti kabla ya Marcelo kuifungia Real Madrid la kufutia machozi dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The FIFA World Cup trophy lands in Kenya
-
The FIFA World Cup Trophy tour ahead of the men's World Cup 2022 in Qatar
arrives in Kenya, today for a two-day tour. The Trophy lands at the JKIA
today an...
Dakika 43 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni