• HABARI MPYA

  Sunday, October 21, 2018

  SUAREZ, MESSI, COUTINHO WOTE WAFUNGA BARCA YASHINDA 4-2 LA LIGA

  Mshambuliaji Luis Suarez akiruka juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Barcelona bao la tatu kwa penalti dakika ya 63 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Sevilla usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Philippe Coutinho dakika ya pili, Lionel Messi dakika ya 12 na  Ivan Rakitic dakika ya 88, wakati ya Sevilla yalifungwa na Clément Lenglet aliyejifunga dakika ya 79 na Luis Muriel dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ, MESSI, COUTINHO WOTE WAFUNGA BARCA YASHINDA 4-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top