Mshambuliaji wa Crystal Palace, Wilfried Zaha akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Arsenal, Alex Iwobi na Matteo Guendouzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Selhurst Park mjini London timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Granit Xhaka dakika ya 51 na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 56, wakati ya Palace yalifungwa na Luka Milivojevic yote kwa penalti dakika za 45 na 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man United to play Atletico Madrid in friendly
-
Manchester United will play Atletico Madrid in a pre-season friendly clash,
the club has confirmed. The match will take place on Saturday 30 July, and
wil...
Dakika 10 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni