• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 20, 2018

  CHELSEA CHUPUCHUPU KWA MAN UNITED, YACHOMOA DAKIKA ZA REFA SARE 2-2 DARAJANI

  Ross Barkley akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha dakika ya sita ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 katika sare ya 2-2 na Manchester United leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.
  Antonio Rudiger alianza kuifungia Chelsea dakika ya 21 kabla ya Anthony Martial kuifungia mabao mawili mfululizo Manchester United dakika za 55 na 73 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA CHUPUCHUPU KWA MAN UNITED, YACHOMOA DAKIKA ZA REFA SARE 2-2 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top