• HABARI MPYA

  Friday, October 26, 2018

  RUBEN LOFTUS-CHEEK APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 3-1

  Ruben Loftus-Cheek akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao matatu peke yake dakika za pili, nane na 53 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bate Borisov kwenye mchezo wa L Europa League usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RUBEN LOFTUS-CHEEK APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top