• HABARI MPYA

  Saturday, October 27, 2018

  SANCHO AFUNGA TENA MAWILI DORTMUND YATOA SARE 2-2

  Jadon Sancho akishangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao mawili dakika za 27 na 61 katika sare ya 2-2 na Hertha Berlin katika mchezo wa Bundesliga leo Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Mabao ya Hertha Berlin nayo yote yamefungwa na Salomon Kalou dakika ya 41 na 90 kwa penalti 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHO AFUNGA TENA MAWILI DORTMUND YATOA SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top