• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 21, 2018

  MILAMBO FC ‘TAIFA JIPYA’ AMBALO HALITASAHAULIKA TABORA, HII NI 1996 KUNA KIDAU, NJOHOLE, IDDI MOSHI, KILOWOKO…

  Kikosi cha Milambo FC ‘Taifa Jipya’ ya Tabora kabla ya moja ya mechi zake za Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1996 kutoka kulia waliosimama ni kocha Msindo Madega, Meneja Mika na wachezaji Qureish Ufunguo, Mapunda Joseph, Hassan Mbaruku, Said Mshamu, Victor Kilowoko, Omari Kitumba na Daktari Nyango.
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni Iddi Moshi, Noah Kilimanjaro, Ramadhani Hamisi, Abdallah Sungura na Wilfred Kidau na waliokaa kutoka kulia ni Athumani Kairo, Hemed Matobango, Paschal Mayala, Renatus Njohole, Ahmed Mwinyimkuu na Njilu Mensa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MILAMBO FC ‘TAIFA JIPYA’ AMBALO HALITASAHAULIKA TABORA, HII NI 1996 KUNA KIDAU, NJOHOLE, IDDI MOSHI, KILOWOKO… Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top