Mshambuliaji Kylian Mbappe akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Ufaransa bao la kusawazisha dakika ya 90 kwa penalti katika sare ya 2-2 na Iceland usiku wa jana Uwanja wa Roudourou mjini Guingamp kwenye mchezo wa kirafiki. Iceland ilitangulia kwa mabao ya Birkir Bjarnason dakika ya 30 na Kari Arnason dakika ya 58, kabla ya Holmar Orn Eyjolfsson kujifunga kuipatia bao la kwanza Ufaransa dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The story behind the cardboard cutout at Broncos camp
-
Sean Payton ordered a life-sized cardboard cutout of OC Davis Webb to keep
the mood light but also send a message to the precocious play-caller.
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment