Mshambuliaji wa Argentina, Lautaro Martinez akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Iraq usiku wa jana Uwanja wa Prince Faisal bin Fahd mjini Riyadh. Mabao mengine ya Argentina yalifungwa na Roberto Pereyra dakika ya 53, German Pezzella dakika ya 82 na Franco Cervi dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The story behind the cardboard cutout at Broncos camp
-
Sean Payton ordered a life-sized cardboard cutout of OC Davis Webb to keep
the mood light but also send a message to the precocious play-caller.
8 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment